Tuesday, 3 December 2013

MABADILIKO NI MUHIMU.

Sasa Jamii ya Wafugaji ya Wamasai nao wamekubali Mabadiliko,Vijana wa Kimasai wakisakata Kabunbu Mara baada ya Shughuli zao za Kuhudumia Mifugo.

Wadau naomba nichukuwe Fursa hii kuwakaribisha katika Blog yangu ambayo itakuwa inakupatia Taarifa,Habari na Matukio mbali mbali yanayojiri na yatakayojiri katika Jamii ya Kimaasai na kwingineko,BLOG yangu ni MAASAI COMMUNITY-IRMAASAI.KARIBUNI SANA!!!

Na hapa kuna Taarifa ya Habari kutoka Orkonerei Fm Radio Service 94.4Mhz Simanjiro Manyara,unaweza kusikiliza.